Barua pepe ya uzinduzi bado inaahidi kipengele ambacho kimeondolewa kwenye mpango. Nimeandaa mabadiliko. Ungependa kuyakagua?
Mapitio ya fedha yanafanyika wakati mmoja na onyesho la binti yako. Kila mtu ana nafasi mapema zaidi siku hiyo. Je, ungependa nibadilishe muda wake?
Nimesasisha slaidi zako kwa kuongeza sababu zinazoweza kueleza kupungua kwa wateja wanaorudi. Nimebainisha mambo ambayo bado tunahitaji kufahamu na kuongeza chaguo chache ili uzizingatie.
Wateja wanaendelea kuomba vichujio vilivyohifadhiwa. Nimeunda na kupima sasisho na kubainisha faida na hasara zake.
Unafanya kazi hadi usiku? Hivi hapa vyakula unavyovipenda kwenye DoorDash, pamoja na gharama zote na nyakati za kuletwa. Chagua kimoja, nami nitaweka agizo ukishaidhinisha.
Nimesasisha slaidi zako kwa kuongeza sababu zinazoweza kueleza kupungua kwa wateja wanaorudi. Nimebainisha mambo ambayo bado tunahitaji kufahamu na kuongeza chaguo chache ili uzizingatie.